Masuali na majawabu muhimu
Nataka kujua Zaidi kuhusu Akademia?
African Islamic Academy inatoa kozi za kisharia na ustadi, na vyeti vilivyoidhinishwa na chuo kikuu cha kimataifa cha Ibnu Katheer.
Kila kozi ina masomo maalum, ni lazima kuziangalia na kuzisikia, na inapendekezwa kusoma rejea kisha ufanye mtihani na utapokea cheti baada ya hapo
Kila kozi ina viwango viwili, na kila kiwango kina masomo kadhaa, na utastahiki kupewa cheti pale utakapofaulu viwango vyote viwili jina la cheti kitasomeka “Diploma ya misingi ya dini na lugha ya kiarabu”
Ingawa masomo ni mengi ila ni rahisi na yenye kuvutia, pia kuna kikosi maalum cha kuweza kujibu maswali yenu muda wowote
Karibu ewe mwanafunzi wetu
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ajaalie kutafuta kwenu elimu ni njia ya peponi
Na yale unayoyafanya yawe ni miongoni mwa mambo bora ya uchamngu, Mwenyezi Mungu atakabali amali zenu
Sisi ni wenye furaha kwa kujiunga kwako kwenye chanel yetu ya Telegram
t.me/+uHCc8IyQ83liYjg8
Ili upate msaada wa kiufundi
t.me/+F-6oApevPYEzZWM0
Ni ipi gharama ya masomo? Na cheti hali kadhalika?
Usajili na masomo na cheti ni BURE
Vipi nitajisajili na kushiriki kwenye Akademia?
Usajili ni mwepesi wala hauchukui isipokuwa dakika mbili pekee, bonyeza linki
Andika jina lako kama kwenye vyeti vyako, na nambari ya simu yako na uweke neno tambulishi lako kisha likariri na uweke taarifa zinazotakiwa.
Alama ya kukamilika usajili na kukubaliwa ni kuonekana kwa jina lako juu ya ukurasa
Ukikutana na tatizo lolote, tuma picha yako kwa wasaidizi wa kiufundi ili lishughulikiwe
Nifanye nini baada ya usajili?
Anza kusoma mada ambazo umejisajili kuzisoma ikiwa zimekwisha kupeperushwa
Soma masomo yaliyoandaliwa usome
Bonyeza kozi uliyojisajili kisha soma
Ili upate kusoma kozi, angalia video au sikiliza na inapendekezwa sana kurudia Rejea
Baada ya kusoma kozi, fanya mtihani kwa kubonyeza aikoni ya mtihani
Vipi nitawasiliana nanyi?
Tumefurahi kwa kujiunga kwako nasi
Ili upate kujisajili kwa Akadimia 👇🏻
https://www.aia-academy.com/sw/register
Tunafuraha kuwasiliana nasi kwako kupitia:
-Channel ya whatsapp: https://whatsapp.com/channel/0029VaDJsVIAYlUAyczC8D32
-Facebook : https://www.facebook.com/profile.php?id=100090278140230
-Facebook group : https://www.facebook.com/groups/875934823479901
-Usaidizi wa kiufundi: t.me/+F-6oApevPYEzZWM0
-Telegram group: t.me/+uHCc8IyQ83liYjg8
Youtube: https://www.youtube.com/channel/UCetHQGn7npfwflT1e0efyXg
Tikok: https://www.tiktok.com/@aiaacademy1
Instagram: https://www.instagram.com/aiaacademy55
Nakama muna suala lingine, ni furaha yetu kuwahudumikia
Tunafurahi kuhudumikia wanafunzi
(Mwenye kufuata njia akitafuta elimu, Allah humsahilishia kwa hilo ikawa ni njia ya peponi )
Niipi takwimu ya masomo ya Akademia?