تعلم العربية
Hii ni Akadimi ya mafunzo na malezi ya Kiafrika ambayo inajishughulisha kusahilisha mafunzo, kusambaza elimu, kuleta karibu masomo ya sharia, kupanua ufahamu na kueleza utamaduni wa kisalamu na lugha ya kiarabu kupitia njia nyepesi na yenye kuvutia.