Maswali na majibu muhimu
Ningependa kujua zaidi kuhusu Akademia.
African Islamic Academy inatoa kozi za kisharia na ustadi, na vyeti vilivyoidhinishwa na Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Ibn Katheer.
Kila kozi ina masomo maalum, ni lazima kuzitazama na kuzikiliza, na inapendekezwa kusoma marejeo yaliyoandaliwa kisha ufanye mtihani na na utapewa cheti baada ya kukamilisha.
Kila kozi ina viwango viwili, na kila kiwango kina masomo kadhaa, na utastahiki kupewa cheti pale utakapofaulu viwango vyote viwili jina la cheti litaonyesha: “Diploma ya Misingi ya Dini na Lugha ya Kiarabu”.
Ingawa masomo ni mengi lakini ni masomo rahisi kufuatilia na yanayovutia, pia kuna kikosi maalum cha kuweza kujibu maswali yenu muda wowote.
Karibu sana, mwanafunzi wetu mpendwa, kujiunga na safari ya elimu ya kidini.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu ajaalie kutafuta kwenu elimu kuwa njia ya peponi.
Na yale unayoyafanya yawe miongoni mwa mambo bora ya uchamungu, Mwenyezi Mungu akubali amali zenu.
Sisi ni wenye furaha kwa kujiunga kwako kwenye chaneli yetu ya Telegram:
t.me/+uHCc8IyQ83liYjg8
Ili upate msaada wa kiufundi:
t.me/+F-6oApevPYEzZWM0
Ni ipi gharama ya masomo? Na je, kuhusu cheti?
Usajili, masomo na cheti ni BURE
Vipi nitajisajili na kushiriki kwenye Akademia?
Usajili ni rahisi na huchukua takriban dakika mbili tu, bonyeza kiungo hapa chini:
1. Andika jina lako kama kwenye vyeti vyako, na nambari ya simu yako na uweke neno la siri (neno tambulishi), kisha lirudie. na uweke taarifa zinazotakiwa.
2. Ishara ya kukamilika kwa usajili ni jina lako kuonekana juu ya ukurasa ni kuonekana kwa jina lako juu ya ukurasa.
3. Ukikutana na tatizo lolote, tuma picha ya tatizo lako kwa wasaidizi wa kiufundi wa kiufundi ili lishughulikiwe.
Nifanye nini baada ya usajili?
Anza kusoma mada ambazo umejisajili kuzisoma ikiwa tayari zimesambazwa au kuchapishwa
Soma masomo yaliyoandaliwa, kisha bonyeza kozi uliyojisajili.
Ili upate kusoma kozi, angalia video au sikiliza na inashauriwa kurudia kusoma marejeo.
Baada ya kusoma kozi, fanya mtihani kwa kubonyeza ikoni ya mtihani.
Vipi nitawasiliana nanyi?
Tunafuraha kuwasiliana nawe kupitia:
- WhatsApp Channel: whatsapp.com/channel/0029VaDJsVIAYlUAyczC8D32
- Facebook: facebook.com/profile.php?id=100090278140230
- Facebook Group: facebook.com/groups/875934823479901
- Telegram Group: t.me/+uHCc8IyQ83liYjg8
- YouTube: youtube.com/channel/UCetHQGn7npfwflT1e0efyXg
- TikTok: tiktok.com/@aiaacademy1
- Instagram: instagram.com/aiaacademy55
Na kama mna suala lingine, ni furaha yetu kuwahudumikia.
Tunafurahi kuhudumikia wanafunzi.
(Mwenye kufuata njia akitafuta elimu, Allah humsahilishia kwa hilo ikawa ni njia ya peponi)
Ni zipi takwimu za masomo ya Akademia?
| SIKU | Gregorian | Hijriya | Tukio |
| Jumamosi | 2 Rabiʻ II 1446 AH | 05/10/2024 | Kuanza kwa Awamu ya tatu |
| Ijumaa | 21 Ramadan 1446 AH | 21/3/2025 | Kuisha kwa Awamu ya tatu |
| Jumatano | 9 Dhuʻl-Qiʻdah 1446 AH | 07/05/2025 | Siku ya mwisho ya Shindano kuu la tatu |
| Jumamosi | 30 RabiʻII 1446 AH | 02/11/2024 | Uzinduzi wa Diploma ya Ualimu |
| Jumamosi | 21 Jumada I 1446 AH | 23/11/2024 | Kuanza kwa Diploma ya Ualimu |
| Ijumaa | 15 Shaʻban 1446 AH | 14/2/2025 | Kuisha kwa Diploma Ualimu |
| Jumatano | 2 Dhuʻl-Qiʻdah 1446 AH | 30/04/2025 | Siku ya Mwisho ya Shindano kuu la Diploma ya Ualimu |