MASHINDANO YA PILI
Matokeo ya Mashindano ya pili

 

MASHINDANO YA PILI KUTOKA AFRICAN ISLAMIC ACADEMY
Zaidi ya 4,000,000 za kitanzania zikigawiwa kati ya wanafunzi 90 wa Akademia

Sehemu ya kwanza:

Wanafunzi 50 bora zaidi waliomaliza viwango viwili (Diploma15) na wana vyeti vya sekondari watafanyiwa mlingano wa waliyosoma katika Akademia ili wapate kukamilisha kiwango cha Bachelor katika chuo kikuu cha kimatifa cha Ibn Kathir ndani ya watakamilisha masomo takriban mwaka mmoja au na nusu tu.

:Sehemu ya Pili

Wanafunzi watano bora zaidi katika Diploma ya Misingi ya Dini na Lugha ya Kiarabu ambao hawakushinda katika awamu ya awali.

Wakwanza: Zawadi yake ni (232,500) TZS au inayolingana nazo

Wapili: Zawadi yake ni: (201,500) TZS au inayolingana nazo

Watatu: Zawadi yake ni : (170,500) TZS au inayolingana nazo

Wanne: Zawadi yake ni: (155,000) TZS au inayolinagana nazo

Watano: Zawadi yake ni: (124,000)TZS au inayolinga nazo

Wanafunzi watano bora zaidi katika Diploma ya juu ya Misingi ya Dini na Lugha ya Kiarabu ambao hawakushinda katika awamu ya awali.

Wakwanza: Zawadi yake ni (232,500) TZS au inayolingana nazo

Wapili: Zawadi yake ni: (201,500) TZS au inayolingana nazo

Watatu: Zawadi yake ni : (170,500) TZS au inayolingana nazo

Wanne: Zawadi yake ni: (155,000) TZS au inayolinagana nazo

Watano: Zawadi yake ni: (124,000) TZS au inayolinga nazo

Sehemu ya Tatu

Wanafunzi wawili bora katika kila diploma kumi na tano: (Idadi yao itakuwa: wanafunzi 30)

Wakwanza: zawadi yake ni: (93,000) TZS au inayolingana nazo


Wapili: Zawade yake ni: (62,000) TZS au inayolingana nazo

Vidokezo na Masharti:

Mashindano yatatathminiwa mnamo Rabi’ al-Akhir 28, 1446 AH, sawia na Oktoba 31, 2024 AD.

na zawadi zitasambazwa ndani ya wiki tatu kuanzia tarehe hiyo.

Mtu yeyote ambaye amejiandikisha katika chuo na kumaliza diploma moja au zaidi yumo katika mashindano wala hauhitaji usajili maalum kwa ajili yake, lakini data yake binafsi lazima iwe kamili.

 

Mwanafunzi hatapokea zawadi mbili kutoka kwa sehemu mbili tofauti lakini atapokea thamani ya juu ya mpjawapo

 

Iwapo wanafunzi wawili wana alama sawa katika sehemu ya pili, aliyesoma zaidi ndiye atakayepewa nafasi ya juu, yaani aliyesoma diploma mbili ndiye atakayepewa kipaumbele kuliko aliyesoma diploma moja, na kadhalika.