Ibn Kathir International University

Maombi ya Udhamini ya Bachelor
Pakua sasa App ya Akademia

Akademia inapendekeza ujiunge na Taasisi ya Tadarus

šŸ“Tunamuhimidi Allah kwa kutiwa saini kwa makubaliano ya ushirikiano wa kielimu kati ya African Islamic Academy na Ibn Kathir International University for Humanities and Islamic Sciences.
Chini ya makubaliano haya, tunapenda kuwapa wanafunzi wetu bishara ifuatayo:
āœ…Vyeti vyote vya kuhitimu baada ya kumaliza hatua ya pili katika Akademia  vinaidhinishwa na kuthibitishwa na chuo kikuu.
āœ…Yeyote anayehitimu kwa daraja nzuri (Very good) au ya juu zaidi, ana shahada ya shule ya upili na anaweza kusoma Kiarabu, anapokea udhamini wa Bure kutoka Akademia na kumaliza masomo yake katika Chuo Kikuu cha Ibn Katheer BILA malipo (wanafunzi 50 wa kwanza), na akamilisha  masomo ya shahada ya kwanza (Bachelor) online chini ya miaka miwili.
āœ…Yeyote aliyehitimu kwa daraja la chini ya nzuri sana (Very good), ana shahada ya shule ya upili, na anaweza kusoma Kiarabu, anaweza kumaliza masomo yake katika chuo kikuu, kukamilisha shahada yake ya kwanza (Bachelor) mtandaoni kwa punguzo la 80%, na kuhitimu chini ya miaka miwili. 
🤲Tunamuomba Mungu arahisishe kutafuta elimu kwa wanafunzi wa elimu, awakubali, na afanye jitihada zao kuwa njia ya Peponi.

šŸ“œKucheki mifano ya vyeti vya Akademia
https://t.me/c/1428855059/2401  
ā˜ŽļøKwa msaada wa kiufundi na kujibu maswali: 
https://t.me/c/1428855059/2381  
Jukwaa la Ibn Kathir International University  for Humanities and Islamic Sciences:
https://www.ibnkathir-edu.org