Maombi ya Udhamini ya Bachelor
Pakua sasa App ya Akademia

Akademia inapendekeza ujiunge na Taasisi ya Tadarus

Fikra ya Diploma:

Ni kuwasilisha diploma ya ualimu maalum kwa walimu wa dini ya Kiislamu katika shule za serikali na shule binafsi ili kunyanyua uwezo wa walimu katika Makonde mbalimbali ya ufundishaji, malezi na Imani. Walengwa:

  • •Walimu wa Elimu ya dini ya Kislamu (EDK) na lugha ya kiarabu katika madrasa mbali mbali za serikali na binafsi
  • •Walimu wa vyuo vya kati na vyuo vikuu
  • •Walimu wa vyuo vya stadi mbalimbali

Malengo ya Diploma:

  • 1-Kuongeza uwezo wa masomo ya dini ya Kiislamu Kenya na Tanzania
  • 2-Kuongeza uwezo wa Waalimu katika Ualimu na Malezi
  • 3-Kuongeza uwezo wa walimu Kielimu
  • 4-Kuongeza uwezo wa walimu Kiimani

Matokeo ya Awali ya Diploma:

  • -Inatarajiwa baada ya kumalizika kwa diploma hii, mwanafunzi aweze:
  • 1-Kufahamu Pembetatu ya utaratibu wa kielimu ambayo ni maarifa, mwelekeo na mahiri
  • 2-Kwendana sambamba na maendeleo ya kielimu na kiteknolojia
  • 3-Kwendana na mikakati mipya ya kielimu na kuifanyia kazi
  • 4-Kupambika na tabia anayosifika nayo mwalimu wa Kiislamu
  • 5-Kufanya utafiti wa kielimu Pamoja na nyenzo zake za ukusanyaji wa data na uchambuzi wake




Ubora

)

Vyeti kwa kila kozi na diploma kutoka Akademia:

Pindi unapokamilisha kila kozi, utapokea cheti kilichothibitishwa na Akademia ambacho kinaonyesha kiwango chako cha maendeleo ya kitaaluma. Zaidi ya hayo, pindi unapokamilisha kozi zote za diploma, utapokea cheti kilichothibitishwa na Akademia

Cheti cha kuhitimu:

Unapofaulu diploma zote, utapokea cheti cha kuhitimu kilichothibitishwa, mradi tu utatuma vithibitisho kwamba wewe ni mwalimu.

Zawadi za kifedha:

Walimu watano bora zaidi watapata tuzo za kifedha:
Wakwanza: 200,000 za Kitanzania
Wapili: 180,000 za Kitanzania
Watatu: 150,000 za Kitanzania
Wanne: 120,000 za Kitanzania
Watano: 100,000 za Kitanzania
Siku ya Mwisho ya Shindano kuu la Diploma ya Ualimu Jumatano 04-30-2025 sambamba na 2 Dhuʻl-Qiʻdah 1446 AH


Majina ya washindi

🏆 Majina ya Washindi wa Shindano la Walimu

🎉 Hongera sana! Mungu akubali kutoka kwako, akulipe, na akuinue hadhi yako 🌷

📍 Ili kuwasiliana na Akademia kuhusu Zawadi na kupokea what’s up

Zawadi za kifedha:


Walimu watano bora zaidi watapata tuzo za kifedha:


  • 🥇 Wakwanza: 200,000 za Kitanzania
  • 🥈 Wapili: 180,000 za Kitanzania
  • 🥉 Watatu: 150,000 za Kitanzania
  • 🏅 Wanne: 120,000 za Kitanzania
  • 🏅 Watano: 100,000 za Kitanzania
Nchi Jina la Mshindi Zawadi Daraja Nafasi
Tanzania RASHID MOHAMED HAMISI 200,000 za Kitanzania 100% Wakwanza
Kenya سالم براسا 180,000 za Kitanzania 100% Wapili
Kenya أوكتي آدم سكوى 150,000 za Kitanzania 100% Watatu
Kenya Muhammed Maero Namati 120,000 za Kitanzania 100% Wanne
Kenya ISRAI ABDALLAH JUMA 100,000 za Kitanzania 100% Watano