Sera ya Kibinafsi
A TAARIFA BINAFSI
JINA: Abdallah Daudi Salehe
TAREHE YA KUZALIWA:12/4/1968
SEHEMU YA KUZALIWA: Arusha- Tanzania
UTAIFA :Mtanzania
HALI YA KIJAMII: Nimeoa
KAZI RASMI: Mwalimu Luqman Sekondari-Dar-es Salam,Tanzania
WADHIFA:
1- Shughuli za Da'awa Namibia miezi 3
2- Shughuli za Da'awa nchini Zambia 1998-2000
3-Shughuli za Da'awa ndani ya Tanzania kuanzia 2000 mpaka hivi sasa
B MASOMO
Msingi- Nkokashu Nkokashu Primary 1976-1982
Madrasatul Azhar- Arusha Chini ya Chuo Kikuu cha Azhar 1984
Sekondari Ma’ahad Benghazi Libya 1990 Chini ya Chuo cha Ma’ad Bengazi 1990
Shahada ya Kwanza ya Chuo Kikuu Chuo Kikuu cha Tripoli 1994
C KOZI MBALIMBALI
Kozi ya mambo ya fedha: CIFCA-Dar-es Salaa
Semina ya Qur’an: Dar es Salaam
Semina ya ufundishaji somo la kiarabu na maarifa ya Uislamu: Dar es Salaam
D MAWASILIANO
+255784334975