Sh. Ahmad Haydar

Maombi ya Udhamini ya Bachelor
Pakua sasa App ya Akademia

Akademia inapendekeza ujiunge na Taasisi ya Tadarus
Sh. Ahmad Haydar

Sh. Ahmad Haydar

Wasifu Sh. Ahmad Haidar Jabir

Jina : Ahmad Haidar Jabir

Uraia: Mtanzania

Hali ya Kijamii : Nimeoa

Namba ya Simu: +255779919191

 Barua pepe: 

[email protected]

[email protected]

Elimu:

  1. Sekondari   : Certificate of high secondary education. (Africa Islamic Centre Sudan)
  2. Diploma : Diploma ya Miamala ya Fiqhi ya Kiislamu    (Markfield institute of Higher Education Uk). 
  3. Shahada ya kwanza: Master Diploma in Islamic finance.      (Institute of International Modern Studies Uk)
  4. Diploma baada ya Shahada ya Kwanza (PGD): Master degree in Islamic Studies (Loughborough University Uk).         

    Majukumu na Mafanikio:

  1. Mhadhiri wa Masomo ya Dini na Mambo ya Fedha ya Kiislamu katika Vyuo Vikuu mbalimbali
  2. Mwalimu wa Masomo ya Tafsir, Hadith na Fiqhi Katika misikiti, Radio na Tv. 
  3. Mtaalamu wa Takaful (International Institute of Moderm Studies Uk)
  4. Mtaalamu wa Mambo ya Fedha ya Kiislamu (Institute of International  Moderm Studies uk)
  5. Mwenyekiti wa kitengo cha Elimu na Misaada ya taasisi ya JUZASA
  6. Mwenyekiti wa Bodi ya Sharia ya Yetu Islamic Microfinance Bank.
  7. Mkurugenzi Mtendaji na Mmilikiwa wa London Electronics Company
  8. Mwanzilishi na Mtendaji Mkuu wa Tanzania Real estates.