Sh. ALHIDHRI YOUSSOUPH SEVE

Maombi ya Udhamini ya Bachelor
Pakua sasa App ya Akademia

Akademia inapendekeza ujiunge na Taasisi ya Tadarus
Sh. ALHIDHRI YOUSSOUPH SEVE

Sh. ALHIDHRI YOUSSOUPH SEVE

MAWASILOANO

+255768649111
+255777496444

[email protected]

https://gshtargets.wixsite.com/mysite

MASOMO STASHAHADA

Siasa za uhusiano wa kimataisa  - SAS Sudan Academy of Science ilioko Khartoum, Nchini Sudan

Uendeshaji na utawala - IUA Intertinal University of Africa ilioko Khartoum, Nchini Sudan

SHAHADA

Sheria halisi ya kiislam  - IUA International University of Africa ilioko Khartoum, Nchini Sudan

UFUNDI STADI NA ELIMU MBADALA

Cheti cha uchumu na mifumo ya fedha ya kiislam - Cibe ilioko Dubai, Umoja wa falme za kiarabu

Tehama na teknolojia ya mawasiliano - SUDACAD Cuo cha teknolojia ya mawasiliano mtandaoni kiliocho Khartoum, Nchini Sudan

Ufundi wa kombyuta na mitandao yake - Juba University ilioko Khartoum, Nchini Sudan

KAZI NA WADHIFA

Mhadhiri katika African Islam Academy (elimu huria kwa njia ya mtandano)

Katibu idara ya jamii katika Jumiyat Answar Sunnah in Tanzania, ngazi ya wilaya.

Mkufunzi na mwezeshaji ( kukuza vipawa na mbinu za kujikwamuwa )

Imam wa masjidul madinatul munawarah mtaa wa Spitali ya rufaa Mloganzila

 Mwalimu wa zamani wa Laurent International School ilioko Unguja Zanzibar,

Mwanaharakati wa kiislam katika shule za serikali nchini Tanzania

Mratibu muandaaji na mshauri wa upambaji wa sehemu za sherehe na matukio

Fundi wa umeme wa majengo