Sh. Ali Nassor

Maombi ya Udhamini ya Bachelor
Pakua sasa App ya Akademia

Akademia inapendekeza ujiunge na Taasisi ya Tadarus
Sh. Ali Nassor

Sh. Ali Nassor

Sera ya Kibinafsi

Ally Nassoro Ally

Tarehe Ya Kuzaliwa: 28th Nov 1973

Utaifa: Mtanzania

Hali Ya Kijamii: Nimeoa

Barua Pepe: [email protected]

Kazi Rasmi: Naibu Mkurugenzi Taasisi Ya Ansaar Muslim Youth Center Tanga, 2014-2023

Wadhifa Mbalimbali :1.Naibu Mkurugenzi Taasisi Ya Ansaar Muslim Youth Center Tanga, 2014-2023.

2. Mkuu Wa Chuo Cha Ma’ahad Imam Shafii Tanga,  2003-2023.

----------------------------------

MASOMO    
1. Mwaka 2002.    Degree ya kwanza lugha ya kiarabu, chuo kikuu cha kiislam Madina, Saudi Arabia.
2. 1998.     Shahada ya elimu ya Sekondari (Thanawi) Chuo Kikuu cha Kiislam Madina, Saudi Arabia.
3. 1991.     Shahada ya elimu ya kati (Mutawasitwa) Chuo cha Al-Haramain, Dar- es-salaam, Tanzania.
4. 1987.    Elimu ya Msingi (Ibtidaaiyah) Madrasat Al-Manaar, Dar es Salaam

----------------------------------
KOZI NA STADI ZINGINE    
Lugha ya Kiingereza    
Utawala na Uongozi    
Kompyuta    
Ualimu  

----------------------------------
MAWASILIANO    
Anuani ya Posta: P.O.BOX 1542.
Namba ya simu: +255713408748.+255 784351785
Email address: [email protected]