MAELEZO YA KIBINAFSI
JINA: BADRU JAFFAR SWALEH
RAIA: MKENYA
MAHALI PA KUZALIWA: Nairobi
TAREHE YA KUZALIWA: MEI 17, 1973
HALI YA NDOA: AMEOA
BARUA PEPE: [email protected]
NAMBA YA SIMU: 0722 748 752
MUKHTASAR TAARIFA YA KIBINAFSI
Sheikh Badru Jaffar ni mwanachuoni mkongwe na juhudi mbali mbali katika ulingo wa ulinganizi, uhadhiri na darsa mbali mbali.
Amehudumu kama Imamu, mhadhiri, mwalimu na khatibu katika miskiti tofauti.
Sheikh Badru Jaffar ana Shahada ya Uzamili; Benki za Kiislamu, Fedha na Usimamizi kutoka Chuo Kikuu cha Gloucestershir Uingereza. Shahada ya Kwanza; Sayansi za Hadithi, kutoka Chuo Kikuu cha Madina, Saudi Arabia
NYADHIFA
â–ª Mshauri na Mkaguzi wakisharia
â–ª Mjumbe wa bodi za Sharia katika kampuni kadhaa
â–ª Mwalimu wa Chuo cha Kiislamu
â–ª Imamu na Daia