Sh. Dr. Abdallah Khatib

Maombi ya Udhamini ya Bachelor
Pakua sasa App ya Akademia

Akademia inapendekeza ujiunge na Taasisi ya Tadarus
Sh. Dr. Abdallah Khatib

Sh. Dr. Abdallah Khatib

 

Sera ya Kibinafsi

Jina: Abdalla Mohamed Abubakar

Mwaka wa Kuzaliwa: 1952

Mahali pa Kuzaliwa: Lamu

Anwani Elektroniki: [email protected]

----------------------------------

  1. Kimasomo

1957-1967: Masomo ya msingi (Madrasah al-Najāḥ, Lamu)

1970-1973: Madrasah al-Riyāḍ, Pumuani- Nairobi.

1973-1974: Kiwango cha Ukati, Chuo Kikuu cha Kiislamu, Madina.

1974-1976: Kiwango cha Upili, Chuo Kikuu cha Kiislamu, Madina.

1977-1980: Kiwango cha Uchuoni, Kitengo cha Ulinganizi na Misingi ya     

Dini, Chuo Kikuu cha Kiislamu, Madina.

1981-1984: Kiwango cha Usomi wa Juu(Majesteri),

kitengo cha Usomi wa Kiislamu (Tafsiri&Hadithi), Chuo cha Elimu, Chuo Kikuu  cha Mfalume Saud, Riyadh.

1989-1995:  Kiwango cha Usomi wa Juu(Udoktori),  Kitengo cha Misingi ya

Kidini na Falsafa, Chuo cha Masomo ya Kiislamu, Chuo Kikuu cha Kitaifa, Malaysia.

  1.  Kiusomeshaji:

1967-1970: Madrasah al-Najāḥ, Lamu.

1970-1973:  Madrasah al-Riyāḍ, Pumuani- Nairobi.