Sh. Muharram Mwaita

Maombi ya Udhamini ya Bachelor
Pakua sasa App ya Akademia

Akademia inapendekeza ujiunge na Taasisi ya Tadarus
Sh. Muharram Mwaita

Sh. Muharram Mwaita

Sera ya Kibinafsi

:     Jina: MUHARAM IDRISS MWAITA

3-3-1975: Tarehe ya Kuzaliwa

Mtanzania: Uraia

Nimeoa: Hali ya Kijamii

Anuani: P.O.BOX 15957 Dar-es-Salaam, Tanzania

0784 821307, 0712702941, 0755536400 :Namba ya Simu

Lugha: Kiarabu fasaha, Swahili na Kiingereza kiasi

Napendelea: Mpira wa Miguu na Kusoma

 

Taarifa Binafsi

:Elimu

1981 - 1988        (Madrasat Shamsiyya - Tanga-Tanzania)     Msingi

1989 -  1992       (Madrasat Shamsiyya - Tanga Tanzania)      Kati

1995-1998          (Kisauni Islamic Institute - Mombasa Kenya)      Sekondari 

2000 – 2002 (Imam Muhammad Islamic Univ. Saudi Arabia)  Diploma   (Lugha ya Kiarabu na Masomo ya Kiislamu)

2003 – 2007       (Imam Muhammad Islamic Univ. Saudi Arabia)      Shahada ya kwanza (Sharia) 

 

Semina Mbalimbali:               Mji 

 

RIYADHI                             Da’wa

RIYADHI                             Uwasilishaji Khutbah

TANZANIA                          Sharia

RIYADHI                             Masomo ya Hadithi

MOMBASA                          Masomo ya Sharia

RIYADHI                             Hoja na Matumizi yake

RIYADHI                             Namna ya kuamiliana na watu

 

Majukumu na Mafanikio

KISAUNI ISLAMIC 1998        Raisi wa Chama cha Wanafunzi

KISAUNI ISLAMIC 1997        Raisi wa Shughuli za Da’wa

KISAUNI ISLAMIC 1997        Raisi wa Wanafunzi wa Tanzanian

DHINNURAYN ISLAMIC FOUNDATION 1999 - 6/2000.     Mhadhiri na Mshauri wa Elimu

IMAM UNV. 2004 - 2007         Mratibu wa Wanafunzi wa Kiafrika

RIYADH 2003 - 2006               Raisi wa Wanafunzi wa Tanzania

RIYADHI 2003- 2007               Raisi wa Shughuli za Da’wa

RIYADHI 2001- 2007               Da’ia (Mlinganiaji)