Sh. Ramadhan Khamis

Maombi ya Udhamini ya Bachelor
Pakua sasa App ya Akademia

Akademia inapendekeza ujiunge na Taasisi ya Tadarus
Sh. Ramadhan Khamis

Sh. Ramadhan Khamis

JINA KAMILI
· Shaikh Ramadhani Khamisi Sultani Kwangaya.
· Mahala pa Kuzaliwa , Magomeni, Wilaya ya Kinondoni, Dar Es Salaam.
· Tarehe ya Kuzaliwa : 28 / 08 /1976.

HALI YA KITAALUMA.
· Mutawassitwa Markaz Haramaini 1995– 1997. D,Salaam.
· Thanawiyyah Maahad Alhaddaad Hadhramout – Yemen 2000.
· Bachelor Of Arts & Islamic Studies – Yemen University 2008.

KOZI NA SEMINA.
1. Kozi ya Utoaji Mihadhara NA Darsa Katika TV na Mitandao 2012.
2. Kozi ya Usimamizi na Ukaguzi wa Kisharia wa Fedha katika Bank za Kiislam
3. kozi ya Uongozi na Utawala Bora Homboro Dodoma 2016.
4. Certifffed Expert Trainer Diploma (CET) Dubai 2022.
5. Certifffed Professional Trainer (CPT) Dubai 2022.
KAZI NA UZOEFU
1. Mtendaji Mkuu wa Umoja wa Madrasa za Qur-an 2002 -2023.
2. Mjumbe wa Kamati Kuu ya Umoja wa Wanazuoni Kiislam Tanzania.
3. Muhadhiri wa Vipindi vya Dini African TV D,Salaam 2013 - 2022
4. Mkuu wa Maahad Albarakah ya Tandale D,Salaam.
5. Mkurugenzi wa Mambo wa Mahusiano ya Nnje Chuo Kikuu cha Qur-an D,Salaam 2022.
6. Mstaafu Meya Manispaa ya Ubungo D,Salaam 2020.